chanzo: songeahabari.blogspot.com
Funguo 53 za Matrekta ambayo Waziri Mkuu Mh.Mizengo Kanza Pinda alizikabidhi kwa watu walio nunua Tayari kwa kuanza kilimo
Waziri Mkuu akiwa juu ya Trekta ambalo lime nunuliwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh.Saidi Thabiti Mwambungu
Waziri mkuu akipanda Mti wa kivuli katika shamba la kahawa Lipokela songea vijijini
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Kayanza Pinda akiwa katika kitengo cha kuhifahi mahindi luhuwiko manspaa ya songea
Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pinda akikagua Micheya kahawa katika shamba la wawekezaji Lipokela Songea Vijijini
Hiyo ni Miche ya kahawa ambayo ina tarajiwa kupandwa Ekari 500 zilizopo katika eneo hilo
Waziri Mkuu Mizengo Kanza Pinda akiendelea kukagua shamba la Miche ya Kahawa akiwa na Mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa Saidi Thabit Mwambungu
waziri mkuu akiangalia ngoma ya Ligambusa jinsi ilivyo kuwa ikitumbuiza katika kitengo cha hifadhi ya chakula Luhuwiko Songea
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa amemaliza kukagua Shama la Kahawa katika eneo la lipokel songea vijijini
Sunday, July 8, 2012
Post a Comment