Loading...

WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI RUVUMA

chanzo: songeahabari.blogspot.com

Wakuu wa vikosi vya Jeshi la wananchi wakiwa uwanja wa Ndege Luhuwiko waki mngoja waziri Mkuu Mh Mizengo Kayanza Pinda

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh.Said Thabit Mwambungu akiwa na Maafisa wa Vikosi vya Jeshi akimngoja Waziri Mkuu uwanja wa Ndege Luhuwiko Songe

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Kayanza Pinda akiwa ana salimiana na viongozi Mkoa wa Ruvuma aliye vaa Joho jekundu ni Msiki Meya wa Manispaa ya Songea Chares Mhagama


Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pinda Mara baada ya Kuwasili uwanja wa Luhuwiko Songea

Mkuu wa Mkoa Mh.Sabiti Mwambungu akimpokea waziri Mkuu Mh. Mizengo Kayanza Pinda

Naibu Meya wa Manspaa ya Songea Mariamu Dhizumba akipeana Mkono na Waziri Mkuu Mh. Mizengo Kayanza Pinda

Mh.Jenista Mhagama akiumana sikio na Katibu wa CCM Mkoa wa Ruvuma katika viwanja vya Ikulu Songea

Mbunge wa Mbinga Magharibi Gaudence Kayombo akiwa na katibu wa CCM Mkoa na mbunge wa Tunduru wakipeana Mawazo Viwanja vya Ikulu ndogo Songea

Mlinzi wa Katibu wa CCM Mkoa akitekeleza kazi yake ya Ulinzi huku akiwa mkakamavu

Jaji mfawidhi wa Makama kuu ya Kanda ya Songea Mh.Peter Chocha akiwa na Jaji mwenzie

Dakitali Chanangula akiwa uwanja wa Ndege akingoja Msafara wawaziri Mkuu huku akiangalia huku na kule kuangalia kama kuta tokea mgonjwa

RTO Mkuu wa vikosi vya usalama Barabarani ,Mkuu wa Kikosi cha kutuliza ghasia na RCO mKUU WA Upelelezi mkoa wa Ruvuma wakiwa katika kuangalia hali ya hewa uwanjaniPost a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top