Loading...

SHEREHE ZA SIKU YA KUWAKUMBUKA MASHUJAA ZA FANA MKOANI RUVUMA

chanzo: songeahabari.blogspot.com
Jeshi la Wananchi JWTZ wakipita mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Sabit Mwambungu Kutoa heshima katika Kuadhimisha siku ya Mashujaa kakaka Viwanja vya Maenge Manspaa ya Songea

Gwaride la JWTZ likitoka Nje baada ya Kumaliza shuguli za Siku ya Kuwa kumbuka mashujaa walio kufa wakati wa vita na mashujaa walio nyongwa na wajerumani na kuzikwa katika kaburi moja watu 27 .

Picha ya Askari wa Vita vya Nduli Iddi Amini Dada ikiwa ni ukumbusho kwa asikari walio enda Uganda kuwa komboa waganda pamoja na kuokoa eneo lililo tekwa na Iddi Amini Dada

Asikari wa Mawasiliano JWTZ wakiwaburudisha walio fifa viwanja vya Mashujaa kuadhimisha siku ya Mashujaa

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma akiwa na Bregedia wa kanda ya kusini katika siku ya kuwa kumbuka Mashujaa viwanja vya Mashujaa Mahenge

Meya wa Manispaa ya Songea Chares Mhagama wa pili kutoka kushoto akiwa mmoja wawatu walio hudhuria siku ya Mashujaa

Mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti akiwa katika Viwanja vya Mashujaa Mahenge wakwanza KuliaPost a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top