
Waziri Ummy Mwalimu akisalimiana na Padri Lucius wa hospitali ya Peramiho

Mheshimiwa Ummy Mwalimu akizungumza na Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Peramiho, Dr Venance Mushi, alipotembelea hospitali hiyo asubuhi ya leo

Baadhi ya wanachama wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), wakiwa sehemu ya mapokezi, tayari kwa kupata huduma

Mheshimiwa Ummy Mwalimu akiwafariji wagonjwa hospitalini hapo
CDT: JOHN KITIME
Tuesday, January 12, 2016
Post a Comment