Loading...

Chadema yapata msiba mkubwa

Bob Makani
Naibu Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania na Katibu Mkuu wa kwanza wa Chadema ambaye pia amewahi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Bob Makani amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
     Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe zimesema, Makani alifariki dunia jijini Dar es Salaam, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
     Amesema amefariki katika hopsitali alikokuwa amelazwa na baada ya kufariki mwili wake umehamishiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijni Dar es Salaam.
    Kufuatia kifo cha mwasisi wa Chama hicho, Chadema wamekatisha ziara zao za kuimarisha uhai wa chama zilizokuwa zinaendelea mikoa ya kusini mwa TanzaniaPost a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top