Na Nathan Mtega,Songea yetu
Mbunge wa jimbo la songea mjini mkoani Ruvuma Leuindas Gama amekabidhi magari mawili kwa ajili ya kuwahudumia wananchi wa jimbo ilo ambayo ni gari kwa ajili ya kubeba wagonjwa na moja likiwa kwa ajilki...
Loading...
MAJIMAJI SELEBUKA YAWA GUMZO TENA MJINI SONGEA 2016

MAJIMAJI SELEBUKA YAWA GUMZO TENA MJINI SONGEA 2016
Maji maji Selebuka ni tamasha linaloandaliwa na kampuni binafsi
iitwayo Tanzania Mwandi Co. Ltd ikishirikiana na shirika lisilokuwa la
kiserikali liitwalo Songea-Mississippi (SO-MI). Shirika...
MGOMO WA WAFANYABIASHARA SONGEA WADUMU KWA SAA 5
Na Nathan Mtega,Songea
Wafanyabiashara wa maduka wa manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wamelazimika kufunga maduka yao kwa zaidi ya masaa matano kwa ajili ya kuzungumza na uongozi wa manispaa na mkuu wa wilayaya Songea kuhusiana na omgezeko la tozo...
WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEA HOSPITALI YA PERAMIHO SONGEA

Waziri Ummy Mwalimu akisalimiana na Padri Lucius wa hospitali ya Peramiho Mheshimiwa Ummy Mwalimu akizungumza na Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Peramiho, Dr Venance Mushi, alipotembelea hospitali hiyo asubuhi ya leo Baadhi ya wanachama wa Mfuko...
KADA WA CHADEMA AWASIFIA WABUNGE CCM

Na Gideon Mwakanosya-
Songea
Mjumbe
wa Halmashauri kuu ya Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Edson Mbogolo, amewamwagia sifa wabunge watatu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
kuwa ndio wawakilishi wazuri na ni wakweli kwa wananchi...
WATOTO WATANO WALIOZALIWA KWA PAMOJA SONGEA WAFARIKI
Na Julius Konala,Songea
WATOTO wote watano waliozaliwa juzi
katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma wamefariki usiku wa kuamkia jana .
Watoto hao wote watano walizaliwa salama na Sophia Mgaya (28)
mkazi...
Mkutano wa CHADEMA waruhusiwa Songea.

Habari tulizozipata hivi
punde zinasema Baada ya Mkutano wa pamoja kati ya viongozi wa vyama vya
siasa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu, hatimaye Chama cha
Democrasia na Maendeleo CHADEMA kimeruhusiwa kufanya Mkutano wake...
Mwanamke ajifungua watoto watano Songea
MWANAMKE mmoja mkazi wa maeneo ya Ruhuwiko katika Halmashauri ya
Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, Sophia amejifungua watoto watano.
Akizungumza na waandishi wa habari jana mkoani hapa, Mganga Mkuu
Mfawidhi wa Hospitali ya Songea, Dk....
Wakazi wa Manispaa ya Songea walalamikia uchafu uliokithiri
Hili ni moja ya Ghuba lililopo pembezoni ya Mjia wa Songea
Ghuba hili lipo mtaa wa mahenge ambalo pia limesahulika kuzolewa taka
Pichani hapo juu ni ghuba lililopo Mtaa wa Sovi barabara iendayo kituo kikuu cha Polisi...